HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

6 July 2009

KIPINGU KUZINDUA VETERAN NA VIJANA CHANGO`MBE BOYS

Klabu ya Chango`mbe Boys inatarajia kufungua tawi la veteran na vijana Tamasha Maalum litakalo fanyika viwanja vya SIGARA ambalo litashirikisha timu za veteran ba vijana ambalo litaanza majira ya saa nne na kumalizika saa kumi na mbili timu za mpira wa kikapu za UMISETA kanda ya Dar es salaaam pia zitakuwepo kama timu walikwa na mgeni Rasmi atakuwa kanali mstaafu IDDY KIPINGU.
Kushoto ni Josiah Malekam afisa mkurugenzi wa wa uhusiano wa chango`mbe wa chango`mbe united na anayefuta ni Adam Gwao Mkurugenzi wa Mipango
Tamasha hilo limedhanimiwa na Tanzania Breweries Limited(TBL)Pamoja na klabu ya Sigara hiki ndio cheti cha usajiri chango`mbe united

1 comment:

  1. www.tanzaniasports.com6 July 2009 at 20:36

    Safi sana Adam, endeleza bidii uliyoanza nayo kwenye TAVA.
    www.tanzaniasports.com

    ReplyDelete

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers