HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

14 December 2012

ZAMBIA YAPATA MECHI MBILI ZAIDI IKIMALIZANA NA TANZANIA



Mabingwa soka wa afrika Zambia wamepata mechi mbili zaidi za kirafiki chama cha soka cha Zambia (FAZ) kimetangaza kuwa timu hiyo itacheza mechi nyingine dhidi  Namibia na  Swaziland ambazo zitachezwa huko   Nelspruit, Afrika Kusini .
Mabingwa hao wa afrika watacheza na Tanzania   December 22  na baadae watacheza na  Swaziland pamoja na Morocco January 5, 8 na kumaliza dhidi ya  Norway Tarehe 12th.
Mechi ya January 15, itakuwa mechi ya Mwisho kwa  Chipolopolo’dhidi  Namibia kabla ya michuano ya mataifa ya afrika kuanza  2013 . Moja  kati ya michuano mikubwa zaidi katika bara la afrika itakayo anza  January 19 na kumalizika  February 10 huko afrika kusini .

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers